KUELEKEA MECHI YA CAF.....SIMBA WAONA ISIWE TABU...MASHABIKI KUINGIA KWA 'UZITO' HUU.....
Wawakilishi wa Tanzania Kimataifa Klabu ya Simba watacheza hmchezo wa mwisho hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika Aprili 3 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam dhidi ya US Gendarmerie.
Sasa kiingilio cha chini katika mchezo huo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho ni Tsh 3000.
Bei nyingine ni kama zinavyoonekana kwenye Jedwali hapa chini;
ALL Credit of this post going to https://www.sokalabongo.com


Comments
Post a Comment
Ask me anything here...